🤣🤣🤣 ushuani kuna kuparangana kweli??Nimeamka samaki mie, nipo mtaani naparangana.
Ahsante Sana..Amina
🤣🤣🤣huku kuparangana muhimu🤣🤣🤣 ushuani kuna kuparangana kweli??
Au wafanya kazi kishua huku ukisomana daily news
🤣🤣🤣🤣 na wakupelekea “gwazuu”🤣🤣🤣huku kuparangana muhimu
Eeeh nipo kwenye mchakato wa kujifunza lugha ya watu😂so hayo magazeti yanahusika sana
Happy birthday toto lenye shape matata.View attachment 2299430namshukuru Mungu kwa kibali Cha kuongeza mwaka mwingine... Happy birthday to me.
Ahsante Mungu.
Ebu tuone kaselfie ka kusoma gazeti🤣🤣🤣huku kuparangana muhimu
Eeeh nipo kwenye mchakato wa kujifunza lugha ya watu😂so hayo magazeti yanahusika sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na wakupelekea “gwazuu”
Happy birthday to you Rumaiya Ila happy birthday bila kwichikwichi ni Sawa na nane nane tu enjoy ur b-dayView attachment 2299430namshukuru Mungu kwa kibali Cha kuongeza mwaka mwingine... Happy birthday to me.
Ahsante Mungu.




Umezaliwa siku moja na x wanguView attachment 2299430namshukuru Mungu kwa kibali Cha kuongeza mwaka mwingine... Happy birthday to me.
Ahsante Mungu.
Umezaliwa siku moja na mshaharaView attachment 2299430namshukuru Mungu kwa kibali Cha kuongeza mwaka mwingine... Happy birthday to me.
Ahsante Mungu.
Tutatupiwa corona 🤣🤣🤣🤣🤣
Uwe unakuja vacay kunitembelea
🤣🤣🤣🤣 Nimecheka
Yaani tutarudi tumekonda kwa kukohoa + mafuaTutatupiwa corona 🤣
😂😂😂😂😂Chizi.Happy birthday to you Rumaiya Ila happy birthday bila kwichikwichi ni Sawa na nane nane tu enjoy ur b-day
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nzuri LovelovieHabari za asubui selfika
😂😂😂😂😂😂