Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,283
- 108,292
utakuwa wa Kajunjumele wewe...Sio kubwa![]()
utakuwa wa Kajunjumele wewe...Sio kubwa![]()
Karate /kungfu /judo/taecondo
kule kwenye cv za kina Msabila au?? Daah apumzike kwa amani!!
Wa Kyela.
mmmhhh!!!Yah kitambo sana tumemaliza naye



mkuu ile treni ni bab kubwa sema ni vile watu hawajui tu,, mie huwa sipigagi na vitu vya ajabu ni hadi tuone vitu adimu na vya kimataifa kama vile..
Kwa kweli...
Wenye kabila lao mnajulikana tu, kwanza lazima mpige selfie za kwenye treni
Kwamba wanyaki wanajua kubembeleza au?Hahaha...hii ndio sababu wewe si Mnyaki...gotcha!!!
Yapi eti
Hata Mimi naona jicho LA kichokozi kabisa hilo ukila kungu si itakuwa balaa zitoolinaona mbali saana![]()
Mmmmh...Kyela kubwa
Ila mimi sipo kwenye kikundi cha mabaharia mkuu wangu though my stance is the same"Jicho lako linaitaaaaaa"Kauli za mabaharia hizi



Anatuvizia hasa Mimi![]()
Naliona mashalaahJicho kama langu kabisaa
Huu ni uchokozi ulio dhahirii kabisa sister karmaWanaume wa Pattaya??![]()
Si nilikwambia my analytical mind inaniambia wewe sio mwana jf wa kawaida.Ulijuaje?? Taekwondo na Jujitsu!!
Duuuuh!Anatuvizia hasa Mimi![]()
Si umeshaona Atoto inatosha au ?