Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,838
- 183,045
Kwani hata ukiwepo huwa unaona?Kasema hana
Kwani hata ukiwepo huwa unaona?Kasema hana
Yapi eti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unacheka nini wakati ndiyo mambo zako hizo??
Kwangu Ina mwishoelimu haina mwisho, hata usome hadi nyuma ya kitabu
Wa Kyela.
Anatuvizia hasa Mimi[emoji24]Umeona eenh?? Na mie nilitaka niseme hivyo hivyo yaani huyu huwa anatuvizia akiona kimya anatupia tukianza kuja anafuta!!
Jicho kama langu kabisaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dogo usinichanganyie mafile humu[emoji1787]
Woooi!! Baki na sababu yako[emoji1787]Hahah...haitoshi
Kwangu Ina mwisho
linaona mbali saana[emoji3][emoji3]Jicho hilo bibie mbona tunaanza kuleteana tabu daah hilo litakua linaona hadi kesho
Sio kubwa[emoji28][emoji28][emoji28]Mmmmh...Kyela kubwa
Certificate yangu inanitosha kabisa[emoji1]
Cole tupia bwana, mbona unatufanyia hivyo?
Woooi!! Baki na sababu yako[emoji1787]
elimu haina mwisho, hata usome hadi nyuma ya kitabu
Kauli za mabaharia hiziMmmmh hilo jicho linaitaaaa
napo utasema kamaliza...
Hivi alikufa??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kule kwenye cv za kina Msabila au?? Daah apumzike kwa amani!!
duh mkuu akil yako ni gani ?huwez jiuliza jf nimeingia na cm ipi?Mkuu hizo hela si uzitumie kubadilisha hicho kiswaswadu hapo??