T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,931
- 30,079
Habari za asubuhi samaki
Habari za asubuhi samaki
Ilikuwa Songea mjini nyakati zile nimetaipuWapi huko?
😂 😂 😂 Utapendwa tu....hujambo jiraniAfu hii ni snap 😅😅😅 asa mtoto wa mtu anipende shauri zakke😅😅😅😅View attachment 2298170
Hujambo jirani, rafiki hajambo nae..
Weeee mi sio samaki 🤣Habari za asubuhi samaki
Mimi sijamboHujambo jirani, rafiki hajambo nae..
🤣🤣🤣 sijambo didiMorning pisi kali mwenye dimpoz zake.
Umeamka poa
Safii jirani..Mimi sijambo
Babe wangu hajambo
Rafiki angu Lenie hajambo
🤪🥰🥰
Nipo hapa mjini Tandika.Marhabaaaa!!!za Wapi weyee
Umemuona Junia?Mremboooooh,
Cc ake na kivurugee.![]()
😅😅😅😅😅😅😅 mkuu mbona mi nishasahau ka nilisema hivi😅😅😅😅Kwamba IFM pale
Umepita,na vijana wawili
Vile visharobaro![]()
Niko salama kabisa jirani..sijambo
hows wewe 😘😘
🤣🤣🤣violence
Hahaha tumeamka vyema vipi wewe Boss .
Jua la aina gani em fafanua didi ake😁🤣🤣🤣 sijambo didi
Jua ni kali huku