Unakata stimu!!Ngoja nione kama naweza kuazima simu kwa jirani...
Unakata stimu!!Ngoja nione kama naweza kuazima simu kwa jirani...
Yanini sasa hii???
Nipo sana jirani..msimu wa kuvuna huu. Shamba asubuhi jioni. Nawakaribisha mahindi ya kuchoma.Me niko poa jirani
Umemisika
Usijali jirani..Yanini sasa hii???
Me ndo yule jamaa,,NambieWe jamaa bana!
Achana na kabila kazi yake yenyewe ni mtihaniDuh! Ni kabila la hela nini..
🤣🤣
Aisee ..Achana na kabila kazi yake yenyewe ni mtihani
Una vidole vizuri ila vimezoea kushika helaNimefanyaje 🤣
Hapana banaHahahaha pole aisee ila una pesa chafu wewe
Hivi mimi nawezaje kusahau hela
Nacrosscheck mara mbili then natoka



Karibu sana..Nitakuja kuchukua mahindi jirani, nayapenda sana
Bado mwenye kidoti nae aje na meme yake!😚
Jirani ni majonzi, tunafananishwa na samaki
Asante sana jiraniKaribu sana..
Haya mpare mwenye pesa zake mjini hapa .
Huwezi amini nilikuwa natoa pesa ndefu kidogo siunajua lazima utoe kwa mafungu mafungu niliacha laki 3 pale na Kadi kwenye atmHapana chezea pesa
Lazima uangalie mara mbili .
Umakini muhimu sana
Nyieee samaki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣