Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,488
- 203,177
Outfits 💕Kimya sana Selfika!
Outfits 💕Kimya sana Selfika!
Mwanamke alie tukuka kulko wanawake wote Dunian ni @subriKimya sana Selfika!
Wee jamaa huwa unanifurahishaga sana humu!!!Mwanamke alie tukuka kulko wanawake wote Dunian ni @subri
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hahaha aya
Yellow looks good on youKimya sana Selfika!
KifuaKimya sana Selfika!

Sijui tatizo nn mm Kadi yangu inaongoza kumezwaUwa mnafanyaje mpk kadi inamezwa? Sijawahi kuwaelewa
Eeh pole wafate wakueleze shida ni nini
komenti zako zinachekesha na kuchangamsha sana
Asante dada!Yellow looks good on you
Umependeza
Aisee..Mwanamke alie tukuka kulko wanawake wote Dunian ni @subri
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Wee kaka weka picha yako leo nikuone nawe khah!Aisee..
Jirani wiki ya pili hii napiga zoezi, siksi pak hazijatokea bado...😁😁Wee kaka weka picha yako leo nikuone khah!
Yani mm Nina majanga acha tu nilishatoaga hela kwenye atm nikazisahau hapo hapo kwenye atmEeh pole wafate wakueleze shida ni nini
Ikikataa usilazimishe wewe ondoka na kadi nenda ofisini .
Nikuone Ivoivo tu six pack zanini sasa labda kupunguza kitambi 😚😚Jirani wiki ya pili hii napiga zoezi, siksi pak hazijatokea bado...😁😁
Mm ni mzembe haswa Ila tatizo langu linatibika taratibuMzembe sana wee