Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jaman kanisani unaenda saa tano akiii ww binti ww [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hapo saa nne na dakika arobaini
Nakuwa na mambo mengi ... Nashangaa shwah saa nne imefika .

Ila hapa shule yao sabato ndo naikimbia
Tupo wengi tunaofika mida hii
Mungu atusaidie [emoji1545] .

Juzi alikuja mgeni akawa anashanga amepewa kuhubiri saa sita na nusu . Akawa anashangaa kwa nn wanachelewa hivyo kuanza ibada kuu
Alisuggest ianze saa nne .

Ndo maaana watu wanasinzia kanisani mtu aanze kuhubiri saa sita atamaliza saa nane kasoro hapo .
 
Jaman jitahid uwahi mm kuwah Sabato nipo fasta sana Ila kusinzia lazima nisinzie sijui kwann nitakualika siku moja kanisani kwetu

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Huwa napenda sabuni bafuni Kwa Depal ilianguka pale akigonoka kuokota Huwa na zoom basi tu.. hiyo kipande Cha kuangusha sabuni Huwa nanenepa.. so ukae tayari kuungwa tu 😁😁
 
Huwa napenda sabuni bafuni Kwa Depal ilianguka pale akigonoka kuokota Huwa na zoom basi tu.. hiyo kipande Cha kuangusha sabuni Huwa nanenepa.. so ukae tayari kuungwa tu [emoji16][emoji16]
Oyaaaa ehh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu kijana pepo utaisikia tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Jaman jitahid uwahi mm kuwah Sabato nipo fasta sana Ila kusinzia lazima nisinzie sijui kwann nitakualika siku moja kanisani kwetu

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ah pole aisee
Kuwahi nitajitahidi ila naona nimezoa kanisa hili na nimewekwa wakfu hapo hadi leo nasali hapo .

Nimeelewa wengine huwa wanahamisha ushirika kwenda kwingine .

Makambi mmefanya nyie ?
Nije Makambi labda
 
Acha nikale asee.. hapa mate yananitola tu, na hivi Leo sijatoka chumbani.. huenda nikapata na bahati.. badae video call kama kawaaa [emoji16][emoji16][emoji16]
Mwamba umeshindikana mamaeew[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Oyaaaa ehh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyu kijana pepo utaisikia tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Imagine .. anaokota sabuni unaona Nini 😁😁😁 na Ile miguu mizuri na kale ka rangu.. alafu taa Huwa ni full hapo.. acha badae tufaidi sie maisha ndio haya haya
 
Back
Top Bottom