Jamani mnisamehe bure ndugu zangu leo nimetupia ginger ale zangu 3 kwa hiyo hii akili si yangu leoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ ni ulevi...π€£ππ€£π€£π€£Ile nafasi alosema Reymage naona unaikaimu vyedi sana sikuhizi!!π€£π€£π€£!!
Ripot zote anazo nishampa Kitambo sana!!!! π
Eti kasema nipo na lecturer, akati mie nipo na studiee mwenzangu.Nkamu kwani huwa unamwagilia moyo?[emoji16][emoji16][emoji16]
Aisee umeopoa bonge la pisi; full utu na Utulivu. Yaani you have all my blessings na ukweni nakusindikiza.
Depal ni binti Zumaridi[emoji16][emoji16][emoji16]
Mama junia Saint Anne nimetoka kwake jana.
Mwanafunzi cocastic nishampa salamu zake.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!!Jamani mnisamehe bure ndugu zangu leo nimetupia ginger ale zangu 3 kwa hiyo hii akili si yangu leoπ€£π€£π€£π€£π€£π€£ ni ulevi...π€£ππ€£π€£π€£
Dah, hii imenigusa kuliko.Good night yβall [emoji99] [emoji42]
Mie ngoja nilale ule upnde usio na mtu, nisije maliza mtress kiajabu [emoji23]
View attachment 2294634
Mlongo wewe ndo umenifundisha haya mambo ya umbeya unaona sasa na mimi nineanza kuiga nyendo zako hadi nimetaka kuandika uziπ€£π€£π€£π€£π€£π€£[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo Pa Lecturer sasa, kanikimbiaaaa.
Hizi ripot anazotoa sasa!! Mr vocha jamanii!!ππππEti kasema nipo na lecturer, akati mie nipo na studiee mwenzangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salama uncle nikutakie usiku mwema uncle πHakika Mungu ni mwema niko salsma.
Habari yako miss wetu wa selfikaπ
Njoo kabla hujaenda kupuyaanga huko mana wewe dakika sifuri unayeyuka eneo la tukio!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitakubondaaa wallah.
Asante mwanangu mzuriSalama uncle nikutakie usiku mwema uncle π
Amen madamπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£!!
Umefurahi kweli leo mwenyewe!!!
Hio furaha na idumu mileleee na milele daimaaaaaa ....
Amen!π
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo tsup naweka status za kuwashtua watu afu nafuta, ila mie wee status dkk 10 viewers 63, na wanavopebda umbea sasa, nawadolishia km nataka kulipua kitu, afu nawaacha na shauku.Jamani jamani hilo darsa liishie tu hapa nkamu. Sipati picha uwe kama Coca
Usiwaze mr vocha tunachitchatika tyu hapa kusogeza masaa!!Amen madam
Yaani nilidhani nakukwaza
Na kama nimekukwaza na mwingine yeyote mnisamehe tuu kweli, au akitokea mwingine kakwazika nisaidie kuniombea msamaha tafadhali
Mnajuaga kututesa kisaikolojia wambea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipo tsup naweka status za kuwashtua watu afu nafuta, ila mie wee status dkk 10 viewers 63, na wanavopebda umbea sasa, nawadolishia km nataka kulipua kitu, afu nawaacha na shauku.
πππππ naomba nisamehe tyuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ntakubonda wee.