Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Nitakuletea pmAirtel zote zmetumika me nmkosa
Moja HG wangu kapita nayo 🤗🤗💃💃!!Airtel zote zmetumika me nmkosa
Salamu nimeipokea🙏🙏🙏House Girl Wangu kasema nikuambie Shikamoo mr Vocha!!Amewahi jero ya Airtel 😉😉😜!
Tupia kaselfika ka house girl 😀😀House Girl Wangu kasema nikuambie Shikamoo mr Vocha!!Amewahi Airtel ya jero😉😉😜!
Na namba yake atupe🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tupia kaselfika ka house girl 😀😀
Nimepata halotel Leo mambo full shangweEeh zitakuwa zimetumika tayari
Mimi natumia app .. ngumu kuwahi






Msiwazee kabisa!!! Nishaozesha HG wawili huyu nae naona baraka zajaaaa!! 💃💃Na namba yake atupe🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🙏🙏🙏hongera sana chiefSiamini macho yangu mjue toka nizaliwe Leo ndyo nimewahi vocha ya halotel ubarikiwe sana Tajiri Mjep wa roho usiye na makuu mutu pekee mwenye bodyguard 4 View attachment 2294167
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Afadhali 🤣 maana una lawama sana
Unamuitaje KakaWe siulisema niwe nakuita kaka


embu muite jina zuri basi Tumepigwaaaaaaaaaa 🏃🏃🏃🏃🏃
Nimemuhifadhi mahali hapumuii😜Aliyekuficha huyo Lenie
PoleeeTumepigwaaaaaaaaaa 🏃🏃🏃🏃🏃
Nipe namba yake huyo house girl ndyo ugonjwa wanguHouse Girl Wangu kasema nikuambie Shikamoo mr Vocha!!Amewahi Airtel ya jero!
Hongera hebu enjoy zako huko
