Alayna
JF-Expert Member
- Dec 18, 2021
- 1,010
- 3,554
Ukirudi tena dadaKwa mbali 🥰 na camera nazo zinaongezea 🤗
Ukirudi tena dadaKwa mbali 🥰 na camera nazo zinaongezea 🤗
[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16]hapana hapa watanipora akuuu!!!!Kumbe nadaiwa keki[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Nitaiweka hapa hapa
Waporaji hawapo[emoji38][emoji38][emoji16][emoji16]hapana hapa watanipora akuuu!!!!
😆😀wachaa🙌Ukisikia portable ndyo hii sasa sifa zote unazo rangi mashaallah mtoto afri cast nywele za dubai shape ya kimahaba macho ya uchokozi lips sasa akiiiiiii
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Wee wapo hapa nyakua nyakua!Waporaji hawapo
Kwanini watu wana maliza chuo ? au huwa mnabaki chuo milele yoteSasa kwann mliachana??
Ukirudi ndo uniwekeee number kuleee maeneo.Nichaji simu kwanza nikirudi nakuja kugeuka kurara kukaa kuamka na kurariana kabisa![emoji6]!
Mahoo was here!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu ileteeee haraka sanaKama kuna VAR haijiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbavu zangu nyiee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhani km jibu linashabihiana na swali, au hata mlengo wa muktadha. Nweiii sorry.Kwanini watu wana maliza chuo ? au huwa mnabaki chuo milele yote
Kila jambo lina mwisho wake au ? Na mwisho wa jambo moja huanza lingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sidhani km jibu linashabihiana na swali, au hata mlengo wa muktadha. Nweiii sorry.
Yaisheee
Mbona mafuta tupuMapemaaa kabla ya ibadaView attachment 2293635
KwendraaaaWamiliki na waendesha subaru
Wana makasiriko muda wote
Atamsumbua tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sema wewe kiaziiiii.... Nikisema mie muhogo mchunguuu
Dear me sijaona hata[emoji3][emoji3]khaaa
Niweke wapi sasa madam nipe maelekezoWee wapo hapa nyakua nyakua!
Mjini hapo nishangae jiji
Umependeza Sana.Good morning lovers..... Nmerudi kutoka kanisani.... I hope mko njema[emoji7][emoji7]View attachment 2293778