Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mapemaaa kabla ya ibada
Screenshot_20220717-073707.jpg
 
kwetu shughuri kuu ni kilimo, sahivi hapa kule kwetu ndo wanavuna mpunga,

Ktk kilimo cha mpunga, sipendi kupandikiza na Kung'olea, hssa ukute dimba lina luhanu mbna utalia chozi,

Zinawasha hataree, afu sasa, liwe linawaka jua luhanu linaparaza na majimaji ya dimbani yakigusana kuchanganya na joto, sikiliza muwasho wake hapo, utatafutana.

Nshalima sanaaa.,
Uko vizuri. Kwenu wapi uko
 
🎵Nami Siku zote nitaimbaaaaa kwamba
Yesu ni bwaaaaaaaaaa
Kusema kweli yesu ni bwana 🎶maishani mwanguuuuu🎵
Na siwezi jizuiaaaaa kusema wako wemaaaa🎶

Wishing you an ameizing and enjoyable Sunday wapendwa

Stay blessed!!
 
Attachments

  • Screenshot_20220717-075400.jpg
    Screenshot_20220717-075400.jpg
    32.3 KB · Views: 7
kwetu shughuri kuu ni kilimo, sahivi hapa kule kwetu ndo wanavuna mpunga,

Ktk kilimo cha mpunga, sipendi kupandikiza na Kung'olea, hssa ukute dimba lina luhanu mbna utalia chozi,

Zinawasha hataree, afu sasa, liwe linawaka jua luhanu linaparaza na majimaji ya dimbani yakigusana kuchanganya na joto, sikiliza muwasho wake hapo, utatafutana.

Nshalima sanaaa.,
Wee...ushawahi kulima dogo??
Mi ktk maisha yangu sijawahi Lima Wala kutwanga!!!
 
Back
Top Bottom