Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Unafaa kuwa model video vixen hivi maana una unyama mwingi sana
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Unafaa kuwa model video vixen hivi maana una unyama mwingi sana
Mimi usinitegemee naweza nnikakosa hata hivyo naingia kulala mida hii.@Tinsley mdogo wangu niwahie vocha mm speed ya kuwah vocha Sina jaman
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Haya SawA tutaenda lazima
Aah kweli darlingUnafaa kuwa model video vixen hivi maana una unyama mwingi sana
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Jaman tusubiri tu bado lisaa 1 tu mm mwenyewe usingiz unaninyemela Ila nakomaa tuMimi usinitegemee naweza nnikakosa hata hivyo naingia kulala mida hii.
Hizo kucha nasemea sio za kuvaa viatu mfuniko kama labaNikiingia jikon navua navaa malapa mengine
Nkifika sehem penye zulia navua nakua peku
Kufua zulia ni bei kweli
Karibu UbarukuMajarubani,?? wee nimemiss kuvuna mpungaa.
Ww mtoto mbona mzur sana hvyoHaya hyo apoView attachment 2293524
Ahsante sana beautiful Lovelovie 😍😍Haya hyo apoView attachment 2293524
Mim nakesha hadi adubaJaman tusubiri tu bado lisaa 1 tu mm mwenyewe usingiz unaninyemela Ila nakomaa tu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Madimbani ndio wapi?Mpunga uko vizuri, afu hapa madimbani.
Unawaza nn sasa malkia mrembo portable mwenye hadhi yake rock cityHaya hyo apoView attachment 2293524
KweliHabari za wakati wanaselfika wote Alayna Antonnia Christine1 Depal Mjep sophy27 Tinsley Mideko cocastic Mshana Jr Saint Anne Kelsea myoyambendi Carrasco putin Wigelekelo bila kumsahau Lovelovie naombeni mtubless na selfies na mimi saa 6 usiku nashusha vocha za 50k msilale leo niboss kalewa!

Navaa nkiwa nmezikata..... Na me sio mtu wa laba sana yani viatu vya kunifunika miguu ni mara chache sanaHizo kucha nasemea sio za kuvaa viatu mfuniko kama laba
Trauzaa kaliii mwayaaa.




Nichukulie basi vocha kwa Tajiri PokerMim nakesha hadi aduba