Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😁😁😁 Una mimbo Yako kama ya kina young lunya eeeh Ile mpelekee moto au muda wetuu muda wetuu ee

Muda wetu
Muda wetu wa kufanya kwenye gari
Aiyo woiyoo, aiyo woiyoo
Aiyo woyoo, aiyoo woyoo, woyoo weee

Kimbia mbele, rudi nyuma
We tikisa wezele (Yewe namaan!)
Kimbia mbele, rudi nyuma
We tikisa wezele (Yebo yey woza)
Kwahizo nyulimbo nakuona Kabisa ushavurugwa mjomba !! Usiku huu Sijui kama utakucha salama 🤣🤣😉😉
 
😁😁😁 Una mimbo Yako kama ya kina young lunya eeeh Ile mpelekee moto au muda wetuu muda wetuu ee

Muda wetu
Muda wetu wa kufanya kwenye gari
Aiyo woiyoo, aiyo woiyoo
Aiyo woyoo, aiyoo woyoo, woyoo weee

Kimbia mbele, rudi nyuma
We tikisa wezele (Yewe namaan!)
Kimbia mbele, rudi nyuma
We tikisa wezele (Yebo yey woza)
Young lunya freestyle session 4 alijitahidi
 
Young lunya freestyle session 4 alijitahidi
😄😄😄 Huwa nacheka tu nikisikiliza mistari ya Lunya kwangu namuona mkali Sanaa.. kwenye uwanja wake.. sema Raptcha tungo zake za akili ndio wanapo pishana hapo
 
Hii ya pili 🙌
Asante ngoja niendelee kuenjoy good music
Ngoja nikuachie na hizi za mwisho.. zinakaa masikioni mwangu hizi mda huu 😁😁😁


 
Kwahizo nyulimbo nakuona Kabisa ushavurugwa mjomba !! Usiku huu Sijui kama utakucha salama 🤣🤣😉😉
😁😁😁😁😁 Nakutazama tu shangazi yangu.

Wholla, wholla, wholla
Whola, whola
Wholla, wholla, wholla
Yewe namaaan!
(It's S2kizzy beiby)

He si tuache au tuendelee
Mnaonaje tuwache? (We tuendeleee!)
He si tuache au tuendelee
Mnaonaje tuwache? (We tuendeleee!)

🔥🔥🔥🔥
 
Daah napenda sana maandazi. Yakiiva tushtuane
Tayari
IMG_20220716_175933.jpg
 
Back
Top Bottom