Yule ndio msanii wangu bora wa muda woote nampenda sanaa hana mambo mengi nikazi tuuDear, siku ya ndoa ya Vanessa ntakua mpambee, labda iwe huko ulayaa, au Kwingine, ila km Bongo? Lazima niwepooo nishuhudie,
Naomba kila siku Rotimi afanye kweli. Yaan hawa watu natamani wafunge ndo wanaendana mnooo.
Kwanza vee ana swaggzz na mjanja. Hajapoa km nandy.
Wee tenaaa, hata mie nimelielewa.Kwenye ndoa yangu nitavaa gauni km la nandy nimelielewa kwakweli [emoji2960]
Umesikia coca?
Huwa najiuliza bila vee ningesikiliza hits za nan? Kuna muda nkajaribu kwa maua na Ruby, walaa moyo ukakataaa.Yule ndio msanii wangu bora wa muda woote nampenda sanaa hana mambo mengi nikazi tuu
Sina mkuu sijajikita huko kabisa!..i am here to enjoy na jokes kidogo![emoji4]Kwa life hili
Halafu huna demu jf
Utakuwa mkoloni bhas
Ngoja nizitafute haswaa
Sasa ndo hivyo tena,fukueni makaburi[emoji108]Shamba lilikuwa na mukulu fulan R.i.p mdomo koma [emoji40][emoji40][emoji40] akachomoa [emoji1768][emoji1768]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Piga kelele, woyooooooooooooooh!!!Sasa ndo hivyo tena,fukueni makaburi[emoji108]
Ndoa ishafungwa na mbinguni ishaandikwa[emoji108] Nandy ni mke wa nenga.
Imepenya hiyoooooooo[emoji108]Piga kelele, woyooooooooooooooh!!!
Ile mimba ni ya Nenga bhana.
Ujuri wawapi simu tu hizi zinatubeba🥳🥳😹😹😹😹😹Kwenye uzuri tuwaachieni nyie aunt 😂kwenye kupika ndo penyew napenda kujipikilisha mno
Akipata demu na mie anishtue nijitafutie demuKwa life hili
Halafu huna demu jf
Utakuwa mkoloni bhas
Ngoja nizitafute haswaa
Miee tenaaaa haswaaa kichwani pia nimependa very simpleWee tenaaa, hata mie nimelielewa.
Afu nimependa kichwani, hajafanya makoro koro mengi.
Kanougaaa,
Ntakuwepo MC mama. Kuwa na amani.
Wee nae acha bas kisirani kwa nandy, hata honey moon hawajaingia ushaanza nuksi khaaaah.Hongera kwao sana mungu awabariki kwenye maisha Yao ya ndoa
NB hata frola na Emma mbasha walianza hvyo hvyo mdomo huu jaman [emoji40][emoji40][emoji40]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Humu hamna mademu mkuu[emoji4]Akipata demu na mie anishtue nijitafutie demu kuwa makini
Weraaaaaaaaaaaaah weraaaaaaaaaaahImepenya hiyoooooooo[emoji108]
Vp nikupe location?[emoji28]Weraaaaaaaaaaaaah weraaaaaaaaaaah
Inaonekana kuna umbea unakukereketa[emoji23][emoji23][emoji23]Hongera kwao sana mungu awabariki kwenye maisha Yao ya ndoa
NB hata frola na Emma mbasha walianza hvyo hvyo mdomo huu jaman [emoji40][emoji40][emoji40]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nazingua tu hyo mimba ni ya nenga Kwanza nandy mpare mwenzangu hajawahi kuwa na mwanaume tofauti na nengaWee nae acha bas kisirani kwa nandy, hata honey moon hawajaingia ushaanza nuksi khaaaah.
Nenga kashakubali sasa wee kwann uumie?? Acha hizo bhana.
Anamuoa mke wake aaah.. ndoa part two hiyoAweeee piga kelele kwa mpare wake na nenga wake [emoji818][emoji818][emoji818] Leo full kwichikwichi View attachment 2292911
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Ila Nengaa mzuri jamaniiiii, ana lips za kiume afu za kishababy.Aweeee piga kelele kwa mpare wake na nenga wake [emoji818][emoji818][emoji818] Leo full kwichikwichi View attachment 2292911
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app