Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama vipi kuwa baharia...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii ni kwa ajili ya wasafiri tu mama maana kusafiri siyo hobby ya kila mtu lakini mimi safari fupi sipendi,, nawaza kuenda kuomba ajira tazara niwe staff wa kwenye train ili niwe nasafiri karibu kila wiki..
 
Uwe unapanda mwewe...
 
Sasa wewe safari ya ndege tu unachoka?? Wakati wengine tunatamani hata ndege zipate hitilafu ili safari iwe ndefu??

Kuna dereva mmoja wa shuttle kule mbeya alinisimulia walipanda fast jet kutoka dar kuenda mbeya wakafika mbeya wakakuta mvua kubwa inanyesha wingu zito limetanda anga haliko shwari hivyo hawawezi kutua

Rubani akaambiwa arudishe ndege dar wakalale dar watarudi mbeya kesho kwa ticket zile zile na hakutakuwa na gharama zozote za ziada labda sehemu za kulala kwa siku hiyo ndiyo abiria wangejitegemea

Nasikia wakarudi dar kesho yake wakaanza tena safari kuenda mbeya ndiyo wakafika salama,, nikasema looh mimi mbona na kusafiri kwangu kote na ndege sijawahi kukutana na kadhia kama hizo jamani ili safari iwe ndefu maana dar mbeya lisaa limoja tu mmefika sipendi mimi..
 
Natamani ningekuwa na huo uwezo nipandage zangu ndege [emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Kwa hiyo wewe unafurahia kushindwa kutua au sio[emoji23][emoji23]..Kuna madogo akili zao za bangi Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…