Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,214
- 29,383
Natafuta mke..naruhusiwa kuja pm au niende jukwaa la kutafuta wachumba nikaandike Uzi kule???Niliambiwa hyo sehem hua kuna kenge mkubwa sana..... Hiyo mida ndo nilikua nmeenda kumuona huyo kenge.
Kenge mwenyewe asionekane.... Ila mazingira yalikua mazuri sana mawe mawe, ngedere na wale wanaita pimbi wanasema hua wanaliwa, me sikujaribu kabisa kula
Alafu pia upande mwingine kuna makaburi ya watemi yalikua mawili makubwa sana wanasema ni ya muda mrefu sana View attachment 2291109
Unataka kuja[emoji848]Bandari kavu wapi??
Oooh bas sawaa.Sijawahi fikaga there but thank you[emoji8][emoji8][emoji8]
Ndyoooo.Unataka kuja[emoji848]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tushakufa kitambo na tupo haiii tunatembea [emoji6][emoji6][emoji1787][emoji1787]!! In short hawatuwezii[emoji847][emoji847][emoji847]!! Au nasema uongo Lovelovie ??[emoji6][emoji6]
Ni mimi nilipiga hiyo pichaaDearest una pouzzzz hatareeee.
Tabasamu hili, puliiiiizzzzzz mpiga picha ni nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ni life tu?Hiyo hela nakula mihogo na kachumbali semester nzimaaa.
Afu ndo nipotezee kwa Kobe tyuuh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya sawaaa ni wee, nasubiri vochaa.Ni mimi nilipiga hiyo pichaa
Nisubiri hapo SongeaNdyoooo.
10 ya kiingilioSi ni life tu?
15k ule 4 months ni uongo dogo [emoji1787]
Wee uko wapi huenda ntapata lift ya kwenda home.Nisubiri hapo Songea
Unamaanisha Depal ? Deborah paul Laswai?Deborah Pantaleo Lyimo
Njoo tu pm mkuu mim ndo dalali wa kuunganisha watu hapa ndani we sema unamtaka nani chap tu unampata[emoji4][emoji4]Natafuta mke..naruhusiwa kuja pm au niende jukwaa la kutafuta wachumba nikaandike Uzi kule???
KFC na McDonald naziona Kwa TV tu au nikienda Kwa mwamposa kufata mafuta naionaga KFC mikocheni [emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muongo sana wee, akati bill iko KFC.
Hawatuwezi hawatuwezi hawatuwezi...... Kila anaekuja anatosha kweny kiganja kila anaefurukuta tunampoteza na upepo wa kisurisuriTushakufa kitambo na tupo haiii tunatembea [emoji6][emoji6][emoji1787][emoji1787]!! In short hawatuwezii[emoji847][emoji847][emoji847]!! Au nasema uongo Lovelovie ??[emoji6][emoji6]
Dalali tena??[emoji848] Me nakutaka wewe[emoji28][emoji28]Njoo tu pm mkuu mim ndo dalali wa kuunganisha watu hapa ndani we sema unamtaka nani chap tu unampata[emoji4][emoji4]
Ndio mkuuUnamaanisha Depal ? Deborah paul Laswai?
My dear mzungu is mzungu, na ni ngumu sana mbongo kubehave like mzungu for 90 percent.Ipo siku tu yaani kwa sasa nitulie tu mie [emoji3526]
Nimesoma reviews aisee sio poa .. wazungu wanalalamika kuwa papo crowded etc View attachment 2291213View attachment 2291223
Eti 15k ya Kobe hahah[emoji28]10 ya kiingilio
15 ya kobe.
Nyingi mnoo, mihogo ya mia 3 kila siku? Haifiki??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]