Selfika na JF: Snap it. Show it

Mnawasingizia tu

Wapi wanakesha niende nikanywe hata chupa 5 tu

Usingizi hamna basi tafran tu
Nawasingizia wapi? Kule muhukuru wapo kampuni 3, wanavyomaliza wadada na wamama hadi huruma, ndoa za watu zinaisha kila siku.

Kuna mwingine kumbe alikua mgonjwa, kasambazaaa wee yeye kafa. Lol
 
woyooooh nmeharalishwa naomba nifanye sherehe mapema ya kutambulishwa maan huyu uncle vocha ni kiruka njia... Naweza kushtuka yupo tena na bibi mpya.... Nkitafakali naona balaa sitaliweza
 
woyooooh nmeharalishwa naomba nifanye sherehe mapema ya kutambulishwa maan huyu uncle vocha ni kiruka njia... Naweza kushtuka yupo tena na bibi mpya.... Nkitafakali naona balaa sitaliweza
Just do what makes him feel like OMG!!! Hataruka ruka kabisa!! Huko kwingine ataenda ila moyo wake woteee utakua hapo kwakooo!!
Yeah huyo ni mwanaume nature yao unaijuaaa usimfatilie kabisa you must relllllaaaxxxxxxxx uinjoy maisha babygirl!!!
 
Dearest una pouzzzz hatareeee.
Tabasamu hili, puliiiiizzzzzz mpiga picha ni nani?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…