Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wababa wanaofanya kazi hapa ni Malaya mbwaaaa, kuna wenzao wengine wako site ya Muhukuru. Hapa sio Kitai kweli??
Asikuambie mtu hawa watu hawafai,,,,nasikia wanakichafua balaa huko rwanda kwa wauza migahawa,

Hii picha sielewi ni wapi,,makaa ya mawe kama unatoka songea pale kitai upande wa kulia

Kama unatokea mbinga ni upande wa kushoto
 
[emoji4][emoji4][emoji4]

20190730_94813.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23]jamani

Story zipo hivyo[emoji23]. Madereva wa masafa/magari makubwa ni [emoji91]
Ilikuwa zamani

Siku hizi tuna focus na life

Uwe na kibanda then uwe na truck yako

Ukiendekeza hizo

Pangusa haikuachi salama
 
Back
Top Bottom