cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,069
Wallah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yallah
Sema mie nazipenda mbichi afu nizichemshe na maganda.
Au km zilizokaushwa hivyo, bas nazikaanga.
Wallah.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yallah
Hahha nipo poa vipi wewe ndugu ?Dogo langu
Uko poa[emoji848]
(Usithubutu kuniita kaka)[emoji1787]
AiseeUnaniita kaka na kunisalimia shikamo unataka kuninyima nini?[emoji2]
Usitengeneze uzibe wa kushindwa kuomba kikojoleo chako mkuu[emoji2]
Anyway!!Mahaba Hujambo
Wanaogopa mkongolaa[emoji1787][emoji2089]Polee... inabidi uwe na bwana shemelaaaa!!
Ile picha yakonimecheka khaaa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] hatarii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23]Wallah.
Sema mie nazipenda mbichi afu nizichemshe na maganda.
Au km zilizokaushwa hivyo, bas nazikaanga.
Ulisema pale ruhuwikoKwa hisani ya........[emoji8]View attachment 2290828
Duh[emoji2297]Usikumwema selfika fam [emoji8][emoji8]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoooo.[emoji23]
Utazikuta hizo za kuchemsha naonaga pale shule ya Tanga wanauza,
Nilinunuaga za jero mweeh muuzaji si akaniomba nimgawie ale nilizonunua[emoji23]
Hahahahaaaa...Wigeee nyie !!🙌🙌🙌🙌🙌Sasa itakuwaje[emoji2369]
Majeshi kwa bosi ledi
Ama kwa hii 682 Iveco
Mkasi juu mkasi chini[emoji848]
Hahahahaaaa...mkongo usikie TU kwa Mwenzio usiombe ukutane nao!!😉 🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️🚶🏼♀️Wanaogopa mkongolaa[emoji1787][emoji2089]
SawaBoss lady amenimwaga sasa natafuta single lady chief
Unaenda makaa ya mawe[emoji41],Ulisema pale ruhuwiko
Halafu nakatiza wapi[emoji848]
Naelekea Kitai
JP ndio nani wee wige acha kunichekesha mie!!😉😉🤣🤣🤭🤭Sawa
Ni muelewa hana tabu
Ila JP ndio mshindani wako
Kaza buti
Zinakuwa naJamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanini?
Abeeeeeee Dr!!
Ndugu tena[emoji848]Hahha nipo poa vipi wewe ndugu ?
Habari ya siku nyingi ?