Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoooo.
Afu nimemic mangatungu alooooh.
Mangatungu sijayala kitambo sana[emoji23]

Mwenzangu nilipigwa na bumbuwazi[emoji50],,akaanza kulalamika oooh chakula hawanyimi dada,nikamuuliza inamaana nikugawie hizi karanga??

Akasema ndiyo,

Nikampa agawe,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuuza auze yeye, atake tena kugawiwa, anaona ubakhiri kuchukua kula, khaaaah noumaaaah
 
JP ndio nani wee wige acha kunichekesha mie!![emoji6][emoji6][emoji1787][emoji1787][emoji2960][emoji2960]
Jf siwawezi mwenzenu nawaogopa mnoooo!!
Wewe si umembwaga[emoji2369]

Lile jimbo lingine namtahadharisha

Lina upinzani[emoji1787]
 
Ndio wapi[emoji2089]

Nipe maelekezo[emoji1787]
FB_IMG_16578318037883020.jpg
 
Back
Top Bottom