Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Unakula tu bata nkamuFrom Zenji to Arusha
July is for kuzurula

Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
Unakula tu bata nkamuFrom Zenji to Arusha
July is for kuzurula

SDA NjiroKishindo cha wakoma
kiliwakimbiza washami.x4
Mungu akiwa upande wetu
ni nani aliye juu yetu . x2
Njaa ilipowakabili
wenye ukoma, waliotengwa
wakasema kuliko tufe hapa kwa njaa
ni bora twende kambi la washami.
Ni maadui zetu siku zote
twendeni tuombe chakula,
Na tena huenda tukauawa
lakini bora twende kambi la washami . x2
Walipokaribia kambi la Washami;
Washami wakasikia kishindo cha magari.
Kishindo cha magari ya Waisraeli
na kumbe zilikuwa nyayo za wakoma
zilizojawa uwezo. x2
Kishindo cha wakoma
kiliwakimbiza washami .
Mungu akiwa juu yetu
ni nani aliye juu yetu .
Wahitaji msaada ndugu?
Je watambua kwamba yuko Mungu awezae kurahisisha magumu tusiyoyaweza.
Waweza kumuita Elishadai
Waweza kumuita Adonai
Waweza kumuita Elohim
Mungu aliye karibu na watu .
Na hata sasa Bwana ametupigania, pigania kwa ushindi
na tutashinda zaidi ya kushinda
kwa yeye aliye tupenda,
Kwa yeye aliye tupenda,
Kwa yeye aliye tupenda. x2
Weekend hiyo ilikua vyedi, yaan ulikua unapuyanga na Kiponi hutaki tabuuu, shougaaaa angu.Ilikua majuzi kati hapo shosss!!! Mambo ya weekend!!!!
Nimeona location kali kama mamtoni nje huko.Ilikua majuzi kati hapo shosss!!! Mambo ya weekend!!!!
Sahihisha pepa wee lekcharaaaa, mnazurura wee, baadae karibu na September conference mnaanza kuparua na kuwapa watoto sapulimentare sajare.Njoo chap![]()









Nilikua nakulaWeekend hiyo ilikua vyedi, yaan ulikua unapuyanga na Kiponi hutaki tabuuu, shougaaaa angu.
Upepo duniani hukoo!💃!!!



Mimi niko poa/salama kabisaSijambo Elly, vipi wee.
Wewe ni mkuu wa selfikaMimi mkuu wa wapi wee Eli!!!!
Mie Sijambo Eli!!

Hhahahhhh Eli weeweee!!😍🤭🤭🤭!!✌️✌️✌️!!Wewe ni mkuu wa selfika
Vizuri sana kama wewe hujambo
Ndio bata lenyewe hilo.Bata wapi Nkamu, kujichosha tu![]()

Mnipe shule niwe napiga pesa za halmashauri za uendeshaji, ndo ukuu wangu utakamilika.yeees Mkuu![]()






Unanipiga dongo shosss🤣🤣🤣😂😂😂🤣😂😂😂!!Mnipe shule niwe napiga pesa za halmashauri za uendeshaji, ndo ukuu wangu utakamilika.![]()
ni la maza alinigea nifanye dera![]()





"alinigea" wee ni mtu wa bondeni karibu na msumbiji? Maana ndo tunasema "alinigea" maana ya alinipa.Tulia weweSahihisha pepa wee lekcharaaaa, mnazurura wee, baadae karibu na September conference mnaanza kuparua na kuwapa watoto sapulimentare sajare.![]()
Shouzzzzz tuache utani, wakuu wa shule wanafaidi pesa ujue,Unanipiga dongo shosss!!








Hasa shule zenye wanafunzi wengi!!Shouzzzzz tuache utani, wakuu wa shule wanafaidi pesa ujue,
Shuleni walimu wanaokula pesa ni bursar na HM.
Hivyo vitengo ni pesa sanaaa.![]()