Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika🖑
20220713_234636.jpg
 
Kuhusu hilo vumbi mnalotumiaga,

Je unaamini vipi kama linafanya kazi?
Silijui nalisikia Tu..Ila utafiti uliofanyika linafnaya kazi Ila Lina Tabia ya 'cocaine'..Yaani ukilitumiavumbi la Congo na ukazoea,Tyr unakuwa tegemezi wa hilo.siku usipotumia kuna uwezekano usisimamishe kabisa dhakari.Si nzuri Kwa afya ya mwanaume

Viagra
Vumbi la Congo nk vyote vinabust ila vina madhara Kwa afya..utafiti bd unafanyika
 
Back
Top Bottom