Ameeeeen[emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1431]
Now if only you could seal my blessing with your snap my day will be fully made[emoji4]
Iyunga?Dooh nimeangalia hizi picha ndiyo nikajiona kweli mimi ni mnene ninyi mnaosema mimi siyo mnene Mungu anawaona mjue[emoji16][emoji16]
Denvers unaipata hiyo chuma hapo nyuma??View attachment 1255181View attachment 1255182
😄😄😄I seal your blessing with my snap so that your day can be fully made,, can I get an amen??
Watu wengine mnajikutaga sana, sijui mna nini! Wakiitwa watu wa Nene na wewe uende? Acha mambo yako....punguza mikogo. Wewe siyo mnene wala siyo mwembamba kwahyo tulia ila kama unataka kuwa kama mange kimavi nenda kanywe madawa ya kukonda uwe skeleton kama huyo..Dooh nimeangalia hizi picha ndiyo nikajiona kweli mimi ni mnene ninyi mnaosema mimi siyo mnene Mungu anawaona mjue[emoji16][emoji16]
Denvers unaipata hiyo chuma hapo nyuma??View attachment 1255181View attachment 1255182
Nitumie nikuone.Hahahaaa nishamshushia tiyari Jana usiku. afu Mimi sina mkono wa kupiga ujue.
Full mapicha ya masuaruali, yale mabuga
Kama wewe ni mnene so wengine tutakuwaje mama😆😆Dooh nimeangalia hizi picha ndiyo nikajiona kweli mimi ni mnene ninyi mnaosema mimi siyo mnene Mungu anawaona mjue[emoji16][emoji16]
Denvers unaipata hiyo chuma hapo nyuma??View attachment 1255181View attachment 1255182
[emoji8][emoji8][emoji8]Dooh nimeangalia hizi picha ndiyo nikajiona kweli mimi ni mnene ninyi mnaosema mimi siyo mnene Mungu anawaona mjue[emoji16][emoji16]
Denvers unaipata hiyo chuma hapo nyuma??View attachment 1255181View attachment 1255182
Ati[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama wewe ni mnene so wengine tutakuwaje mama[emoji38][emoji38]
😂😂😂😝😝Ati[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mjeda unakujua kote huku?Iyunga?
Usitake nizimie kwa kicheko ,bado nina wenge la usingiz[emoji23][emoji23][emoji23][emoji13][emoji13]
Najua wajua mi chibongeee
PoleeeNasikia kuna miguu imetupiwa,dah!imenipita hivi hivi!
🤣🤣🤣Usitake nizimie kwa kicheko ,bado nina wenge la usingiz
FainallyHahaha...nimefurahi vile umefurahi
Mimi pia!!Nitumie nikuone.
Nimekumiss sana ujue [emoji8]
Wewe ni yupi hapo sasaDooh nimeangalia hizi picha ndiyo nikajiona kweli mimi ni mnene ninyi mnaosema mimi siyo mnene Mungu anawaona mjue[emoji16][emoji16]
Denvers unaipata hiyo chuma hapo nyuma??View attachment 1255181View attachment 1255182
Nakuona[emoji7][emoji7][emoji7]
Aiseee
Hahahaaa Mimi ni product ya mwakaleli high school.Mjeda unakujua kote huku?
Lara 1Naniiii