Halahala tu msije kutupotezea Tonniah wetu selfika!! Mana watu wabad sana nyie!!😛😛😛 acha tu uzuri nae anajua
Halahala tu msije kutupotezea Tonniah wetu selfika!! Mana watu wabad sana nyie!!😛😛😛 acha tu uzuri nae anajua
Enhee.,...Mamaa madikodiko!!
Wanasema Mwili haujengwi kwa matofalii😋😋😋
Mwehhh ungejua ni asante Kamera tu mjomba Wangu!
Ana moyo wa kipekee sana mr vocha!!Uzidi kubarikiwaga kila leo wee kaka!!









Usiwaze dadangu mzuri dakika chache nimalizie hesabu za barafu zangu hapa nikubless sista akee
Hahahaaa Dogo unanifurahishaga sana komenti zako ujue yani Nimecheka kama chizi 🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂Nashukuru sana boss Tajiri mutu ya watu Tajiri usie na makuu nakuombea upate mke wa 2 Dada angu akiachika nakupa umuoe bure tu Mjep ubarikiwe sanaView attachment 2287992
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Here waiting dogo lake 🙇🙇Usiwaze dadangu mzuri dakika chache nimalizie hesabu za barafu zangu hapa nikubless sista akee
Hahahaaa Dogo unanifurahishaga sana komenti zako ujue yani Nimecheka kama chizi![]()








mm siyo dogo Mpe hongera zake mjomba Mungu awape yeye mtoto na familia yake afya njema na Usinambie tele Heaven Sentkajifungua analea pacha wake sita 😎😎
Sawasawa kubwa lao!!
Nipo mdogo wangu tumajukumu tu ndio tunanibana kidogo...Mamaa mwenye Shepu yake Og mamaa asie na makuu Tonnia sijamuona Kitambo sana!! Aliemficha aturudishie mahoo wetu nyie viumbe!!
Yani huyo anaonekana ukikaa nae utakufa mbavu kwa kicheko!!Hahahaaa Dogo unanifurahishaga sana komenti zako ujue yani Nimecheka kama chizi![]()
Usiwaze sistareeHere waiting dogo lake![]()
Usiwafanyie hivo dada yule nguruwe mmoja akasababisha wenzie wenye mapenzi mema naweye wasile mema ya muumba jamani!! Angalia angalia kuna waliotulia dyadya!!Nipo mdogo wangu tumajukumu tu ndio tunanibana kidogo...
Weee mie humu siwawezi mdogo wangu nishasalute kitambo sana humu!!