Selfika na JF: Snap it. Show it

Ningekuwa ningeangusha kilio na kwenye kichambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilienda kulia home, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nlilia hadi baas.
 
Raia ni wanafiki sana ujue

Nahisi tu ndani kwetu tushazoea kupeana makavu,kuna gauni nilinunuaga k/koo 45,000. siku nimelivaa mom akaniambia kwahiyo hilo gauni ulilipendea hizo draft kama shuka,gauni baya,kitambaa kibaya, kwani ulivyokuwa unachagua ulifumba macho??

Hill ligauni sijavaaga tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…