cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,367
- 188,067
Sanaaaa.Munapapendaga apo
Sanaaaa.Munapapendaga apo
Nipe location mapemaaa dear, tena nguo ya kuvaa iko vyedi.Eid kesho love[emoji4][emoji4]
Hatari sanaSanaaaa.
Eid kesho wapiiiii?Kweli kabisa[emoji123]
Hatujuani tu[emoji23]
UMEJUA KUNIKOSHA[emoji8],
Karibu eid,kuku mmoja kwaajili yako[emoji8]
Haina shida ni siku ya kushereheka na marafiki[emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nitakuja na kikundi changu ww nikaribishe tu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Location si unaijua mama sato sangara...... MwanzaNipe location mapemaaa dear, tena nguo ya kuvaa iko vyedi.
Nakujaaaaah
Sawa rafiki usijal Asante kwa hilo [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Haina shida ni siku ya kushereheka na marafiki[emoji1545]
Thanks babes😘😘Umenyoaaa vizuri. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Woyooooooh, nakaribiaaaa.Location si unaijua mama sato sangara...... Mwanza
Matanga ya nani tena? Umenistua.Nyumbani kikubwa uzima dear,kuna waliotamani waifike kesho na leo wamafukiwa chini,
Mwenzangu,tupo matanga.
Umenyoa vyedi mnoo.Thanks babes[emoji8][emoji8]
Sawa mamaWoyooooooh, nakaribiaaaa.
Una mwagilia moyo wapi mkuu
Leo bahati ni yangu😍😍Kubana nywele kazi jamani 🥺🥺🥺 ukimuona mtu ana mchicha kichwani muheshimu🥰🥰View attachment 2285800
hamna mkuuUna kiu Pau Mo?
ni bless mkuu na wewe basiiLeo bahati ni yangu😍😍
NaturalKubana nywele kazi jamani [emoji3064][emoji3064][emoji3064] ukimuona mtu ana mchicha kichwani muheshimu[emoji3059][emoji3059]View attachment 2285800
kwelii tajiriKweli?