Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,149
- 28,859
Mpaka nitakapoletewa mihogo na kachumbari,ninywe chai kisha niselfikešUnaamka saa ngapi ili tuwe standby
Mpaka nitakapoletewa mihogo na kachumbari,ninywe chai kisha niselfikešUnaamka saa ngapi ili tuwe standby
Hapana chezea mahaba ya kitu wee, maumivu hua yanavumilikaššš ingekuwa balaa
Wanaumiaga 1st day kuna watu nawaona hapa
Salamu ya wahengašHii salamu imenirudisha mbali Sana kifikra "vipi wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu"
Mimi sijambo mamii
Mihogo daahššMpaka nitakapoletewa mihogo na kachumbari,ninywe chai kisha niselfikeš
Breakfast for two![]()

šš Mbona kawaida.Wacha bhana
Sasa huo msambwanda
Inakuwaje huko skonga![]()
Mimi nimeamka ndy nakula hapa..pilipili nyingi sn Hadi natoka mafua mepesiš šMihogo daahšš
Ngoja nimtume dogo aniletee ninywee chai, ushanitamanisha
Ukae na tishu hapošMimi nimeamka ndy nakula hapa..pilipili nyingi sn Hadi natoka mafua mepesiš š
AiseeI'm feelin' vibes on vibes
I'm a tickin' š§Ø View attachment 2283238
Vipi?Aisee
Hujambo jirani..Vipi?
Sijambo⦠mbona umeshangaa pale?Hujambo jirani..
Ni baridi tu limenibamba..nikaona dabodabošSijambo⦠mbona umeshangaa pale?
Santeeššš
š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ we mkorofi sanaNi baridi tu limenibamba..nikaona dabodaboš
Niko sawa jirani..š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£ we mkorofi sana