Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Alianza kunambia tokea naenda chuo,, huku tena akanikumbushia..
Ningemsikiliza sahivi ningekuwa mbali sana, pia ningekuwa nishakomaa uso sana 🤣 komwe lingekuwa limekuwa afu limekuwa tena 😂😂😂

Nahisi vile wanavyovutwa, nywele inarudi nyuma sijui.. komwe linaanza kuota
Zingekua ndefu sana na tungekupa aka sababu ya komwe😂

Ni wanavuta balaa, hapo maumivu ya kichwa kama yote. Sema ndio hvyo mapenzi ya mtu
 
Enzi za mwalimu😍
Ila usije kusuka aisee, low cut ndio chata lako milele.
Very biurifooo 😘
Enzi hizoo 🤣🤣 ‘kwahiyo mimi hunitumii picha? Au mpaka tuhamie wasap 😝😝

Lokati ipi dyadya 🤣🤣 ambia mie nisuke bhana
 
Back
Top Bottom