Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama story haihusu hela ifupishe 🙂
7F703976-1BFD-418E-9D11-5AB4CDFB83FE.jpeg
 
Wanaanzaga hivyo hivyo mdo mdo, badae unashangaa umekua rastawoman😆
Kwa huku nilipo kuwa rasta ni very easy 🤣 afu ukijumlisha niko na mashost wa3 wana rasta…
Na mama angu anavyozipenda 😂 ananiambia weka mtoto 😋😋
Namwambia weka wewe
Anasema mimi na umri huu? 🤣


Nilinusurika march kuziweka,, naona sitoweka tena 😆kwanza ukiweka unakuwa na komwekubwa
 
Back
Top Bottom