Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa huku nilipo kuwa rasta ni very easy [emoji1787] afu ukijumlisha niko na mashost wa3 wana rasta…
Na mama angu anavyozipenda [emoji23] ananiambia weka mtoto [emoji39][emoji39]
Namwambia weka wewe
Anasema mimi na umri huu? [emoji1787]


Nilinusurika march kuziweka,, naona sitoweka tena [emoji38]kwanza ukiweka unakuwa na komwekubwa
Wewe hauna Komwe hata ukiweka zikavutika nyuma kichwa chako kiko vizuri
 
Sure!
Siku kuu hii mpaka inakuwa ya wafanyabiashara kwa kweli tumetoka mbali.
-7 july kuzaliwa kwa tanu 1954, hapa ndipo ilizaliwa saba saba.

-1963 Saba Saba ikawa public holiday baada ya Tanganyika kuingia rasmi mfumo wa chama kimoja.

-1967 TANU inatangaza itikadi ya ujamaa kama siasa rasmi hapa Saba saba ikawa siku ya wakulima na wafanyakazi.
-1977 CCm inazaliwa kwa muungano wa TANU na ASP saba saba inabadilishwa inakuwa siku ya wakulima.

-1992 mfumo wa vyama vingi unaingia na Tanzania inafuta siku kuu ya saba saba, 1993 inaanzishwa nane nane kama siku kuu ya wakulima.

-1994 kunatokea sintofahamu mara baada ya baadhi ya wafanya kazi kutofika kazini kwa kuendelea kusheherekea siku ya saba saba.

-Baadae serikali inairudisha tena saba saba kama siku kuu ya wafanya biashara.

Tumetoka mbali sana kwa kweli.
Hishoria mujarab kabisa
 
Screenshot_20220707-084512.jpg
 
Kwa huku nilipo kuwa rasta ni very easy 🤣 afu ukijumlisha niko na mashost wa3 wana rasta…
Na mama angu anavyozipenda 😂 ananiambia weka mtoto 😋😋
Namwambia weka wewe
Anasema mimi na umri huu? 🤣


Nilinusurika march kuziweka,, naona sitoweka tena 😆kwanza ukiweka unakuwa na komwekubwa
Mama ametisha😂😂
Anakupa full support

Hahahaaa hivi kwanini rasta zinasababisha komwe lakini.
Kuna ndugu yangu yuko huko alikua na rasta zikawa ndefuuuu ila komwe sasa😁
Kazikata last yr saivi komwe limepungua anaonekana mbiurifooo
 
Mama ametisha😂😂
Anakupa full support

Hahahaaa hivi kwanini rasta zinasababisha komwe lakini.
Kuna ndugu yangu yuko huko alikua na rasta zikawa ndefuuuu ila komwe sasa😁
Kazikata last yr saivi komwe limepungua anaonekana mbiurifooo
Alianza kunambia tokea naenda chuo,, huku tena akanikumbushia..
Ningemsikiliza sahivi ningekuwa mbali sana, pia ningekuwa nishakomaa uso sana 🤣 komwe lingekuwa limekuwa afu limekuwa tena 😂😂😂

Nahisi vile wanavyovutwa, nywele inarudi nyuma sijui.. komwe linaanza kuota
 
Back
Top Bottom