😂😂Mm napenda kupika kande kuliko kingine nanunua maharage na mahindi gani sijui yale naweka kwenye pressure cooker naenda zangu kulala
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
LohSasa wewe umefichwa huko TAzara
Ebu kaa kwa kutulia mrembo
Umeguswa na mahindi na maharage?
Classic momentsChioseday
View attachment 2282027
Hata sikijui kipare sisi wapare wa mjiniHaya nieleweshe sasa





😘😘😘Nations nipe polee nimejigonga mguu ukucha unakaribia kutoka 🥺🥺View attachment 2281823
Pau....😍😍Chioseday
View attachment 2282027
Ooh kumbe
Madam nimekumissOoh kumbe
Ndo maana wapenda hiko chakula
YaaanUmeguswa na mahindi na maharage?
🤣🤣🤣Yaaan
Mpare miee tena.. utumbo umenicheza hapa
Lala jirani,, usiku ushakuwa mkubwa 😅
Asante Mr vochaMadam nimekumiss
Selfika kidogo basi best yangu japo lips tuuAsante Mr vocha
Nimekumiss pia
🙏🙏Lala jirani,, usiku ushakuwa mkubwa 😅
Ndio nimejua mremboHakuna nyama inanivuruga kama hii![]()
