Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
@Mjep boss hyo vocha mpka chaji iishe TajiriKwa mrefu![]()
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
@Mjep boss hyo vocha mpka chaji iishe TajiriKwa mrefu![]()
ThiogopiiDuduuu...huogopi dudu mende
Jirani unajua mende akifa huge uka chali?Thiogopii
Sasa kwani akigeuka anatisha mpaka niogope?Jirani unajua mende akifa huge uka chali?
Anatisha jirani...unaona tumbo badala ya mgongo.Sasa kwani akigeuka anatisha mpaka niogope?
Kwani tumbo lake likoje? Yan usifanye nikatafute mende huko vichakani nimgeuzeAnatisha jirani...unaona tumbo badala ya mgongo.
Lina mikatomikato,...Kwani tumbo lake likoje? Yan usifanye nikatafute mende huko vichakani nimgeuze
Kwenye niniMbona paji lako la uso linaonyesha umekubuhu![]()

PtuuKwenye nini
Kakubuhu
Halafu tema mate
Tumchape
Sasa linatishaje hapo jamaniLina mikatomikato,...
Wali mchafu shem
NishamchapaPtuu
Basi selfika kwanzaNishamchapa
Wewe hujamuona....ukimuona utatishika na nyweke kusisimka.Sasa linatishaje hapo jamani
Mweee jirani!! Emu ngoja nikubali, japo kishingo upandeWewe hujamuona....ukimuona utatishika na nyweke kusisimka.
Sawa jirani..kubali yaishe.Mweee jirani!! Emu ngoja nikubali, japo kishingo upande
Nipo mafinga hapaBasi selfika kwanza
Wali mchafu ndo upi huo Shem tenaWali mchafu shem
Karibu sana