Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,991
Shangazi mie nipo tayari hata kuwa reserve kikosi D, nitavumilia tu.. Mrusia akisafiri unakuwa unanituma tuma tuu.. marafiki zako watakuelewa tuu shangazi.. Mjomba wako hana shda kabisa. mjomba wako ana roho ya kimalaika Gbariel hana makuuHahaha... mrashia wangu anitosha mjomba moyo wangu ni mdogo sana hautoshi Watu wawili mjomba!! 😉 Usinigombanishe na rafiki zangu mjomba!!