Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Rice cooked with spices and meat
Rice cooked with spices and meat
Selfika acha porojoNipo mafinga hapa
Kuna baridi hatari
Nilitaka nisogee sogee ila
Nimeona nile kitimoto hapa
Mm St kayumba imeniacha njia panda ShemRice cooked with spices and meat
KituganiEeh! Ayayaya, hee
Kuna kitu kimoja
Kwa jina nisitokitaja

Weee
KaribuSelfika acha porojo
Mlaji tumuone?
Kuna baridi mnoMlaji tumuone?
Haya bhana
Ahhh una enjoy sana siku ukipika makande nikaribishe maana ninavyopenda makandeHaya bhana
Pilau
Depal hajui kujiongeza tatizo..Sisi wengine tunakuwa km wahindiKumbee!!???!!
Hamna kawaidaAhhh una enjoy sana siku ukipika makande nikaribishe maana ninavyopenda makande
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hivyo hivyo selfika bana,, nguchu hadi vant aisee 😂😂Kuna baridi mno
Konyagi unapiga nguchu
Ndio ujue
Halafu nimechafuka mno
Sijaoga wala kupaka mafuta na kupuliza
Pafumu
Mm napenda kupika kande kuliko kingine nanunua maharage na mahindi gani sijui yale naweka kwenye pressure cooker naenda zangu kulalaHamna kawaida
Natamani niyapike kweli .. sijawahi kupika kande
Kabisa .
Ni mpare eeh ?Mm napenda kupika kande kuliko kingine nanunua maharage na mahindi gani sijui yale naweka kwenye pressure cooker naenda zangu kulala
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sawa
Ni mpare eeh ?
Chakula kizuri sana hicho ... Hakika kimetulea wakti wadogo .







kisangara juu Haya nieleweshe sasa