Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Hapo sawa Shangazi ndio maana 😘😘😘.. hapa tuendelee ku chit chat na picha tuSiweki tena mjomba anything for you mjomba wangu!! Sema kingine 😉
Hapo sawa Shangazi ndio maana 😘😘😘.. hapa tuendelee ku chit chat na picha tuSiweki tena mjomba anything for you mjomba wangu!! Sema kingine 😉
Jirani sijui leo umekula na kunya nini maana majibu yako.....Umeshindaje jirani… sikutag wala nini.. sasa kama uwa unalike pasipo kusoma basi 😀
haya nasubiria hapaa ila usijaze memes sasa mjomba weka vitu live!!Hapo sawa Shangazi ndio maana 😘😘😘.. hapa tuendelee ku chit chat na picha tu
Sio wote tafadhali sanaHumu vivuruge waziwazi mie siwawezi mjombaa!! Acha wahuku mtaani wanipange bila mimi kujua mjomba humu shikamooni tu!!
Nimejibu wapi vibaya aisee??Jirani sijui leo umekula na kunya nini maana majibu yako.....
Tupia basi mbona ivo ???Sio wote tafadhali sana
Hii hapa sasa, hapo?DP kuna raba,, weka uchebe
Usiwaze mrembo,lazima nitekelezeTupia basi mbona ivo ???
Sijasema vibaya, umejibu kwa UMAKINI....Nimejibu wapi vibaya aisee??
Hahah!! Hongera sana Kwahilo !!Sio wote tafadhali sana
Nasubiria tangu majuzi yani 😌Usiwaze mrembo,lazima nitekeleze
Hapo fresh…. Ongezea na beardHii hapa sasa, hapo?
😅😅😅emu selfika kwanzaSijasema vibaya, umejibu kwa UMAKINI....
Aisee....Jirani nilisema sitaki kutisha watu kwa sasa, ngoja nizoee gym kwanza..😅😅😅emu selfika kwanza
Tutishe tu sie wakubwa jirani!!Aisee....Jirani nilisema sitaki kutisha watu kwa sasa, ngoja nizoee gym kwanza..
Unajenga six pack? 😅😅Aisee....Jirani nilisema sitaki kutisha watu kwa sasa, ngoja nizoee gym kwanza..
😂 😂 😂 Sawa jirani, ntaweka usiku madogo wakilala...Tutishe tu sie wakubwa jirani!!
Sawasawa.. Si ndio inapendwa jirani? au...Unajenga six pack? 😅😅