Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie mkorofi kwa wengine tu Shangazi.. ila kwako aaah.. nakuwaga nafata protocol tu 😀 😀
Mnasemaga hivohivo after sometime mnakengeuka setakeeeeeeee🙌🙌🙌🙌🙌🙌!
Moyo wangu ushatulia saivi mjomba usinikoseshe amani mie!! 😂🤣🤣🤣 mambo za kuchat limitations nehiii Mara ukitoka online Moja kwa moja polisi kujitetea sizitaki tenaaaaa mie 😉!! Am free and Happy again!!
 
😎 😎 hayo mambo ya teenager shangazi. sie mabazazi wala hatuna hayo mambo ya kufatana fatana kama mkia... uhuru wake na furaha yako ni kipaumbele changu kabisa shangazi 🙂🙂🙂
 
😂😂😂🤣🤣Basi situmi mjomba usiondoke si unaona wana selfika wengine bado wako likizo unatuachaje pekeetu lakini?!! Haya situmi mjomba wangu mzuri njoo!!
Shangazi, natupia badae shangazi usijali.. hapo sawa na kituma usinitag Shangazi nitasikia ushunguuu sanaa
 
Back
Top Bottom