Nations
JF-Expert Member
- May 4, 2022
- 4,892
- 16,997
Kuna kitu kimoja kwa kijana sitokitaja...😀😀😀Nini umenyimwa?
Pale wapi tena?
Kuna kitu kimoja kwa kijana sitokitaja...😀😀😀Nini umenyimwa?
Pale wapi tena?
Watu wachache wametufanya tukose vitu adhimu kabisaaNdio ipi hio??? Tatizo jf mna mambo mengii zaidi mjomba Mie 🙌🙌🙌🙌🙌 kitamboooo 😉😌!!
Mie Siwawezi mjombaa acha nipambane nahali yangu tu!!Watu wachache wametufanya tukose vitu adhimu kabisaa
Uko the palace nini 😂😂Kuna kitu kimoja kwa kijana sitokitaja...😀😀😀
Ila mie naomba uni wazie kwa namna ya kipekee.. nipe kaupendeleo shangaziMie Siwawezi mjombaa acha nipambane nahali yangu tu!!
🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐Uko the palace nini 😂😂
Kwani ulituma ?Akupe vocha yako mkuu
Funga hivyo hivyo🤐🤐🤐🤐🤐🤐🤐
Ukiona cha simamaFunga hivyo hivyo
Humu vivuruge waziwazi mie siwawezi mjombaa!! Acha wahuku mtaani wanipange bila mimi kujua mjomba humu shikamooni tu🙌🙌🙌🙌🙌!!Ila mie naomba uni wazie kwa namna ya kipekee.. nipe kaupendeleo shangazi
Shangazi usinifanyie hivyo mjomba wako.. nitakata roho huku ado nataka kutembea tembea 😎😎Humu vivuruge waziwazi mie siwawezi mjombaa!! Acha wahuku mtaani wanipange bila mimi kujua mjomba humu shikamooni tu🙌🙌🙌🙌🙌!!
Eeh Mama kitu kituKwani ulituma ?
Jirani 😂 😂Vijana wana tabu sana!
😂😂Anajiamini sijui nini 😂😂 au ndio wale mrefu mwembamba anakuwa vyedi 🛏 🤣🤣
Basi anajiona ye ndio yeye
Ukipangwa na wewe panga 😝Humu vivuruge waziwazi mie siwawezi mjombaa!! Acha wahuku mtaani wanipange bila mimi kujua mjomba humu shikamooni tu🙌🙌🙌🙌🙌!!
Hahaha... mrashia wangu anitosha mjomba moyo wangu ni mdogo sana hautoshi Watu wawili mjomba!! 😉 Usinigombanishe na rafiki zangu mjomba!!Shangazi usinifanyie hivyo mjomba wako.. nitakata roho huku ado nataka kutembea tembea 😎😎
Siwezi humu nimeshatoka kitambo mie . Learning through mistakes mdogo wangu!!Ukipangwa na wewe panga 😝
Nianzie page ipi?Elli emu pitia hapa kwanza 🤔