Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,221
😁😁 Wanyaki wako hapa,, waulize kama wana ile kituMjep Amenidanganya nini naona umecheka!😉
😁😁 Wanyaki wako hapa,, waulize kama wana ile kituMjep Amenidanganya nini naona umecheka!😉
😂 😂Mko vizuree!!✌️✌️✌️
Leo umeamkia upande gani mbona umechafukwa hivyo?Unikomee
Nimeamkia upande ulioamka wewe kwenye ule uzi wa ma crushLeo umeamkia upande gani mbona umechafukwa hivyo?
Madam boss lady achana na huyo dogoMjep Amenidanganya nini naona umecheka!😉
Ananiachaje kirahisi hivyo na anaona udanganyifu wa wazi waziMadam boss lady achana na huyo dogo
Mimi ndo nimekwambia ukweli
Basi sauwa mr Vocha nafurahi kujua hilo!Madam boss lady achana na huyo dogo
Mimi ndo nimekwambia ukweli
! Ngoja niamini tu Ivoivo japo moyo umekataa kabisa!!Ananiachaje kirahisi hivyo na anaona udanganyifu wa wazi wazi
Nitakua nasubir meli airport hapo Kaka nitumie mm mwenyewe tuPole sana chief ngoja nimtumie Depal pm alafu nimuombe yeye akutumie wewe pm au unaonaje mkuu??
Huyo baby mwenyewe bahili soon naachana naye namvutia pumzi tuTusio na baby tunakomajeee walai!! Namie nitafutie big boy mmoja wakutamba nae mamdo!!
KaniblockCarrasco putin wahi wahi fursa hukuuu
Kimbia mkuu

Weee mwanaume ujue wewe ndie wa kumhudumia sasa! Hapo unakwama sana mamdo!!Huyo baby mwenyewe bahili soon naachana naye namvutia pumzi tu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sasa kosa langu liko wapi jamani?🙄🙄Nimeamkia upande ulioamka wewe kwenye ule uzi wa ma crush
We si umeambia watu unanichukia? Sasa naanzaje kuwa mpole 😅😅 KwendraaaSasa kosa langu limo wapi jamani?🙄🙄
Uzi ni wa kumtaja crush wako na Mimi nikamtaja wangu badala ya kuwa crush ikageuka crash,vita vikaibuka..Kwa nini lkn??
Pole 😅
Kanipenda mwenyewe nikwamwambia mm Sina hela akanipa 50000 fasta nikalipa salary advance, namwambia anipe 30000 nilipe mpawa naona ananizingua tu hapaWeee mwanaume ujue wewe ndie wa kumhudumia sasa! Hapo unakwama sana mamdo!!
Khakhakhaaaa!! Mamdo una vituko wewe!!Kanipenda mwenyewe nikwamwambia mm Sina hela akanipa 50000 fasta nikalipa salary advance, namwambia anipe 30000 nilipe mpawa naona ananizingua tu hapa
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nimekosea Mimi,nimekosea Sana..We si umeambia watu unanichukia? Sasa naanzaje kuwa mpole 😅😅 Kwendraaa