Ngozi softiiiiiiii!! Hadi raha!
X wangu yuleSaa hii niko na hawa wanapiga Chemistry 1 Mock!
Hahaha.. X wako ana sura za sayansi🤣🤣🤣🤣!!
Hatujapata bado, kama una mchongo tupe basi tuchangamkie fursa😃Majobless wa hapa mshapata kazi na hamsemi 😂😂😂
Nawaona mko busy, hamuonekani hapa… nikajua mshapata kazi tuje kuwabrashia viatuHatujapata bado, kama una mchongo tupe basi tuchangamkie fursa😃
Haa copy and pastefafanua
njoo unisalimie basi 😎Nawaona mko busy, hamuonekani hapa… nikajua mshapata kazi tuje kuwabrashia viatu
Emu tuoneMchana wa kula...