Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,988
- 177,217
Ugumu wake uko wapi??Umenipa mtihan mgumu
Ugumu wake uko wapi??Umenipa mtihan mgumu
Mweh!! Shukrani kwa kamera tu mkuu sina budi kusema asante!!We ni kazuri bwana ila ni vizuri kujificha usiwavuruge watu humu ndani
Morning to you!!✋
Hayo ni matumizi mabaya ya raslimali watu madamNdio mr Vocha na kuuza maziwa ya bili , fresh na mgando pia! Ya bili unaletewa hadi kwako!!
Hayo ni matumizi mabaya ya raslimali watu madam
Marahaba, Hujambo?
Asante jirani!Karibuni chai wadau...
Tumefunga 😂Karibuni chai wadau...
Afadhali, kumbe upo jirani...Tumefunga 😂
Njoo uchukue...Naomba.
Afadhali, kumbe upo jirani...
Asanteni sana..