Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
Uoga wanini tena mamdo nauzee wote huu naogopa nini sasa!😉
Nipumzishe akili mapema kwa ajili kuanza wiki ya kazi vizuri kipenzi!!Dada leo mbona mapema 🥺
Nilikuwa kwa x wangu sijawah kupata vocha humu toka nizaliwe Nina nyota ya lipumbaUoga wanini tena mamdo nauzee wote huu naogopa nini sasa!
Jana zikiwekwa vocha kama zote humu Sijui ulikua unaswampia wapi !!
Hahaha ongea na mr vocha akufanyie wepesi mamdo!Nilikuwa kwa x wangu sijawah kupata vocha humu toka nizaliwe Nina nyota ya lipumba
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Nifanyie wwH
Hahaha ongea na mr vocha akufanyie wepesi mamdo!
Mie nipo pabaya kupata vocha Saivi ngumu!!
Kila mtu yupo pabaya haya endeleeni na ubaya wenu mxieeewMie nipo pabaya kupata vocha Saivi ngumu!!



Hahaa Mjep pullliiizzzzzzzzzzzzzzz okoa jahazi hukuu sio kwa hii misonyo tunayobamizwa !!Kila mtu yupo pabaya haya endeleeni na ubaya wenu mxieeew
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sio wote tunakaa Manzese ukitoka nje tu unakutana na duka…. MxieeeeeewwKila mtu yupo pabaya haya endeleeni na ubaya wenu mxieeew
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kwahyo unataka kusemaje kwa sie tunaoishi Manzese kwa mfuga mbwaSio wote tunakaa Manzese ukitoka nje tu unakutana na duka…. Mxieeeeeeww
😂😂😂
😂😂😂😂 sina la kuwaambia banaKwahyo unataka kusemaje kwa sie tunaoishi Manzese kwa mfuga mbwa
Hii nyota ya Lipumba ndiyo nyota gani chief🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilikuwa kwa x wangu sijawah kupata vocha humu toka nizaliwe Nina nyota ya lipumba
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hajui kuwa wewe ni mdosi unaishi NJIRO kwa matajiri, mnanunua vifurushi vya mwezi😁😁 huko hakuna maduka mnachukua mazaga super😁😁 atakomaSio wote tunakaa Manzese ukitoka nje tu unakutana na duka…. Mxieeeeeeww
😂😂😂
Sawa wa kishua😂😂😂😂😂 sina la kuwaambia bana
Tulia wewe wakishua pro max..Sawa wa kishua😂
Mkuu hamna 😂😂😂Hajui kuwa wewe ni mdosi unaishi NJIRO kwa matajiri, mnanunua vifurushi vya mwezi😁😁 huko hakuna maduka mnachukua mazaga super😁😁 atakoma
🤣🤣🤣Tulia wewe wakishua pro max..