Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,504
- 203,224
😁😁😁 dyadyaaaaaMi nimeona upaja tuu![]()
😁😁😁 dyadyaaaaaMi nimeona upaja tuu![]()
Ni kipaji jamani, yeye ndio hua ananipa nguvu😂Uzembe tu umekujaa 😂😂😂
Hapo sawa…! Ngoja nikalinganishe sasa ipi imebamba
Cute

🤗 nimejipaka mwenyewe na makapeni🤣🙌Kucha zinavutia😍😍
Tupe siri ya urembo dyadya na sie wengine baada ya goti pawe soft hivyo😂😂
Boss lady💕💕
Shukrani sana mr vocha!!🙏Boss lady💕💕
Nauza dawa ya kukomaza mapema😎🤗 nimejipaka mwenyewe na makapeni🤣🙌
Hamna siri yoyote 🤣 ni vile tu sijakomaa vizuri
Niko salama jirani. .Niko poa kabisa jirani
Habari ya wewe
Thanks bebee;;!!😘😘Cute![]()
Hapana sitaki kukomaa kwa kufosi,, wacha mambo yaende yenyeweNauza dawa ya kukomaza mapema😎
Aww 💃💃 …😘😘😘..eheeee🎶ehee 🎶🎶yeeeuu..🥰🥰🥰nilipoona hii comment ya kumwagilia moyo ghafla sana nikavuta kumbukumbu 😊😊. Eheeee💃💃 ngoja nicheze kidogo daddy Shimba ya Buyenze
🤣🤣🤣🤣🤣🤗 nimejipaka mwenyewe na makapeni🤣🙌
Hamna siri yoyote 🤣 ni vile tu sijakomaa vizuri
Safiii.Saivi ni amepasuka hatariii mshepu kama wotee!!
Vizuri jirani.Niko salama jirani. .
😂😂😂😂 hapo dhambi ziko wapi jamani …🤣🤣🤣🤣🤣
D sitaki dhambi asubuh asubuh mie na leo J2 😂
Hahahaaa basi endelea kujitunza ili ukija kukomaa vzuri pazidi kuwa soft
😁😁😁 weweeeeeeVizuri jirani.
Selfika basi japo mkono jirani.
Em niacheeee😂😂😂😂😂😂 hapo dhambi ziko wapi jamani …
Ngoja nitie juhudi...
Kuna baridi nimevaa sweta. Niko kama kondoo. Ngoja nitoke nje jirani nichangamke...Vizuri jirani.
Selfika basi japo mkono jirani.
🤣🤣🤣🤣🤣🙌Kuna baridi nimevaa sweta. Niko kama kondoo. Ngoja nitoke nje jirani nichangamke...