Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,005
- 177,262
😘😘😘😘😘
😘😘😘😘😘
Once a month kujispoil sio mbaya shost… unajilipua tuNi tamu balaa zilinishindaga bei 😅😅😅
💃💃💃😘Dinner date 🤗😍
🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌Kumbe we dume mkuu. nafikirigi tunaochat chat hapa ni wadada
Umependeza mama K sema umeikata sana Jamani!
Mimi kwenye ngeli za kishua nitoe bageshi.
Yani unahama kwa matajiri?J3 nitaagiza toyo pale mataa 😂😂
Skn mara ya mwisho ilikuwa January,, hata njia nimeshazisahau sasa
Shemeki huyoo

KheeeKumbe we dume mkuu. nafikirigi tunaochat chat hapa ni wadada




Mtoto ameumbikaa❤❤
🤣🤣🤣🤣🤣🤗🤗🤗🤗🤗🤗 mie ndio na😘😘wa mamdo!
Naogopa baba kijacho asigundue kama ndiye mimi 🤰🏾Umependeza mama K sema umeikata sana Jamani!
HaibishaniwiMimi kwenye ngeli nitoe bageshi.
Huo ni uwanja wa akina Heaven Sent na wengine huko.
Mimi niko vizuri kwenye ngeli za Kisukuma. Hapo hata useme kile cha ndani kabisa cha kizee nitakula nawe sahani moja....
Dogo achana na Mimi😬Shemeki huyoo![]()
🤣🤣🤣🤣🤣🤗🤗🤗🤗🤗🤗