Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 28,851
- 37,565
😂😂kesho ss🙌
Mambo ni moto hali itakuwa baridi zaidi
Mambo ni moto hali itakuwa baridi zaidi
Huko mtakuwa mmezoea sana joto, kiasi cha kusononeka na nyuzi joto 23 😂😂Baridi la Dithim ni la mchongo tu😅😅 ikifikaga saa nne jua hilo
ila leo limeweza
LoshorooLeo
Ile jana ilikuwa Juice ya miwa eeh
Ashukuriwe mtumish GeodeviNimeacha alcohol 😂
Huyo ni namba nyingine piaMbona hujamtag madam Heaven Sent mmeanza lini kugombana??
Hiyo comment yako ni batili kama inakosa hilo jina chief![]()
🤣🤣🤣Ashukuriwe mtumish Geodevi
Nidai zawadi yako kama hii ni kweli
Hata mimi nilionaLoshoroo

Madam leo umekunywa nini lakini?😂😂kesho ss🙌
Mambo ni moto hali itakuwa baridi zaidi
Ah wapi
HahaaaaMadam leo umekunywa nini lakini?
Naomba urudi Iringa huko Dar hakukufai
Kaa kwa kutuliaMadam leo umekunywa nini lakini?
Naomba urudi Iringa huko Dar hakukufai
Iringa si ndo baridi ni kali mkuu?Madam leo umekunywa nini lakini?
Naomba urudi Iringa huko Dar hakukufai
It’s true jirani.. nianzie wapi kukudai?Ashukuriwe mtumish Geodevi
Nidai zawadi yako kama hii ni kweli
Ah heri yakoMi ndo hata sijatoka
NachokupendeaAh wapi
Sina ukishua aisee
La sivyo baridi isingenipiga hivyo
Now tuna 17 ila tuko poa😂😂kesho ss🙌
Mambo ni moto hali itakuwa baridi zaidi