Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wamenibishia humu,na baridi linaendelea hili. Nimechek news hapa....
Sasa check weather mpk huu mwezi uishe![emoji119][emoji119]
Njombe ndo shikamoo mpk barafu zinaanguka[emoji134][emoji119][emoji119]
Nyuzi 9 so far
,mafinga,mbeya ,Iringa zinapishana kidogo ila ni balaa,12,13,14.... ndo balaa

Arusha haiingii kwenye hayo maeneo halo juu!

Ah leo hatari .. nilikuwa nazurura hapo kariakoo hali ya hewa ilikuwa ubaridi na mvua mvua kidogo .

kwa kweli huu mwaka baridi lipo la kutosha tu .
Hiyo mikoa si poa aisee .
 
Nimeishi sana dar,sijawahi ona baridi Kali hivi!
Arusha nimeishi almost 4 yrs ,zamani kidogo,njiro hapo!
Still baridi LA kipindi hiko sio km LA sshv!
Baridi iko Njombe huko🙌🙌
Zamani hakukuwa na baridi
2019 lilkkuwepo
2020 ndio hapakuwa na baridi kabisa

Njombe weka kando,, Dar haiwezi kuwa na baridi la kufikia Arusha
 
Wamenibishia humu,na baridi linaendelea hili. Nimechek news hapa....
Sasa check weather mpk huu mwezi uishe!🙌🙌
Njombe ndo shikamoo mpk barafu zinaanguka🙆🙌🙌
Nyuzi 9 so far
,mafinga,mbeya ,Iringa zinapishana kidogo ila ni balaa,12,13,14.... ndo balaa

Arusha haiingii kwenye hayo maeneo halo juu!
Bado nabisha

Huwezi linganisha Dar na Arusha
19/23 😂😂 weee
Na hapa leo tuko tunashangilia jua liliwaka
 
Kama ulikuwa mpenzi wa series kama tom clancy, strike back, seal team, hanna, na treadstone
Then this one is for you
ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2279097
NARUDIA
NI BEST SERIES HUU MWAKA UKIACHANA NA VIKINGS VALHALLA[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Brad pitt anajua[emoji91][emoji91][emoji91]
 
🥶
2EF33735-11CB-47D5-9565-77A4442F380E.jpeg
 
Back
Top Bottom