Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Habari za uzima msukumaa[emoji8]

Nakusalimia babaa yutongs [emoji12]
Mi sijambo aisee...

Naona unabarizi mitaa ya Moro na RR lako jipyaa.

...and yes. Yutongs foreva japo zimeanza kunielemea hasa zile supa dupa. Umri umeenda sana nisipojiangalia nitakuja kuzima laivu nikipambana na yutong [emoji24][emoji16]

Kuna haja sasa ya kuhamia ule upande mwingine...as in Maendeleo Hayana Chama ...

Endelea kubarikiwa BL [emoji1545]
 
Leo chuga ni nyuzi ngapi?

Maana Njombe huko mpk sasa ndo wametisha barafu zinaanguka tu!
Ila dar sijawahi ona hii🙌
Kimsingi leo jua liliwaka thoe lilikuwa ni la mchongo… j5/j4/j3 🙌🙌🙌, j5 ilikuwa 13.. ilikuwa balaa.. na la huku likikuingia tu mwilini, nimonia nje nje
FB4DEBF0-FCDE-47EB-A50C-1239C651993F.jpeg

3F335C37-525F-4585-83CA-CA8C838892FF.jpeg
 
Mi sijambo aisee...

Naona unabarizi mitaa ya Moro na RR lako jipyaa.

...and yes. Yutongs foreva japo zimeanza kunielemea hasa zile supa dupa. Umri umeenda sana nisipojiangalia nitakuja kuzima laivu nikipambana na yutong [emoji24][emoji16]

Kuna haja sasa ya kuhamia ule upande mwingine...as in Maendeleo Hayana Chama ...

Endelea kubarikiwa BL [emoji1545]
Hahaaahahaaaa ng'ombe hazeeki maini msukuma !!

Baraka nimepokea msukuma shukrani sana [emoji120]
 
Nini hiki?

Vumbi la Kongo ama? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dawa ya mafua hyo bana [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom