😅😅 nimekutelekeza nini?Umenitelekeza hata sijaonja,😌
Wewe.....Dar kama tupo chuga
🙌🙌
Hhahaaa!
Sina simu ya wasap hapa,, kama umenicheck 🤪🤪Huonekani
ile kitu yataka kampani eti
Acha hizo dogoSina simu ya wasap hapa,, kama umenicheck 🤪🤪
So just call on me brother when you need a hand..Lean on me when you're not strong I'll be your friend.
View attachment 2279413
Wee mamaa nimekumis mimii jamani ibariki Jioni yangu pullliiiizzzzz!!?Hahaha anachekesha eh??. Ila Ile ajira Iko Bomba.
Reflection ya kwenye kioo ndo imetoa ukweli kamili...cocastic Kwani uko Wapi shos akee nakusalimia mie!!




Jamani mlioko dar naomba mseme kukoje Leo?Wewe.....
Dar kama chuga??
Haiwezi tokea madam
Habari za uzima msukumaa😘Reflection ya kwenye kioo ndo imetoa ukweli kamili...
Ni kama anavyosemaga mdogo wangu mmoja humu...halafu lizuriiii![]()
Kwa vyovyote vile itakavyokuwa ila haitoifikia Chuga… haijawahi wala haitokuja tokea.Jamani mlioko dar naomba mseme kukoje Leo?
Nimejaribu kuchungulia nje 🙄 aisee mbona hapafai?Acha hizo dogo
Ingiq PM sasa
Utakunywa k vant ina joto🤣Nimejaribu kuchungulia nje 🙄 aisee mbona hapafai?
Leo chuga ni nyuzi ngapi?Kwa vyovyote vile itakavyokuwa ila haitoifikia Chuga… haijawahi wala haitokuja tokea.