cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,420
- 188,162
Tena nitalizoom hadi baas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaaah wakat wengine tunaangalia action coca anamuona Chris patt[emoji23][emoji23][emoji23]
Tena nitalizoom hadi baas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaaah wakat wengine tunaangalia action coca anamuona Chris patt[emoji23][emoji23][emoji23]
Natamani cameraman ningekuwa mm [emoji39][emoji39]
Punguza tamaa za ajabu uishi maisha marefuNatamani cameraman ningekuwa mm [emoji39][emoji39]
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Embu nitumie t-shirt nioneNatamani kwenda mjini,, ila nikiwafikiria Yanga hapo mjini kati naishiwa nguvu [emoji4]
Na hivi nilijisahau nikavaa ka t shirt ka visit Tanzania
Too much editing mpaka majani ya kijani yamepotea..
Sitaki
Maisha marefu yote ya nn mie miaka 45 nataka niwe nimedead tuPunguza tamaa za ajabu uishi maisha marefu
Ni camera yangu mbovu tu banaToo much editing mpaka majani ya kijani yamepotea..
Kadenim kametulia.. ila sio sana
KheeeeeMaisha marefu yote ya nn mie miaka 45 nataka niwe nimedead tu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
He he he he hiyo series ya Endless love acha kbs. Huyo kwangu chul ni mzuriiiiiii huchoki kumtazama. Halafu series zake zote zimekwenda shule. Amecheza pia kwenye "jamyong go". "I'm sorry, I love you" ... Nenda ss kwenye "man to man". [emoji23][emoji23] Mimi mwenyewe km sio handsome halafu hujui kupigana siangalia. Tafuta "Goodbye Mr Black". Nouma nayo, mkaka mtamu yuleee.Mie series za nje natazama wanaume tyuuh, kuna hiyo Korea drama.
Inaitwa ENDLESS LOVE. mamaa weee wale wahusika ni nyokoooooo.
Kuna huyo
Hang kwang hoe
Hang kwang chol.
Mtu na mdogo ake, n mahendisamu ya kwenda, afu Kuna yule mtoto wa waziri mkuu tobaaaaa, ni kisanga. Najifaidia kuwatazama tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Hii movie naitafuta, hili likaka la katikati lizuri bhana wee, khaah acha nikalifaidi kuli zoom. Weuweeeeeeh
Nije nikupe jotoJamani
Hata mood ya kutoka imeisha[emoji119][emoji119]
Sio Kwa baridi na mvua hii!
Nimeshazichukua nimekula zoteKheeeee
Sasa nssf zako atachukua nani