Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama ulikuwa mpenzi wa series kama tom clancy, strike back, seal team, hanna, na treadstone
Then this one is for you
ni [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]View attachment 2279097
Cover tyuuh linavutia,
Afu huyu mwanaume wa kati kati mbna ni lihendisamu sana,
Ngoja niitafute nilifaidi kulitazama. Woooraaaaayyyyy!!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daaah coca akili zako 2[emoji23][emoji23]
Mie series za nje natazama wanaume tyuuh, kuna hiyo Korea drama.
Inaitwa ENDLESS LOVE. mamaa weee wale wahusika ni nyokoooooo.

Kuna huyo

Hang kwang hoe
Hang kwang chol.

Mtu na mdogo ake, n mahendisamu ya kwenda, afu Kuna yule mtoto wa waziri mkuu tobaaaaa, ni kisanga. Najifaidia kuwatazama tyuuh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Hii movie naitafuta, hili likaka la katikati lizuri bhana wee, khaah acha nikalifaidi kuli zoom. Weuweeeeeeh
 
IMG_20220702_123238_405.jpg
 
Daaaah wakat wengine tunaangalia action coca anamuona Chris patt[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom