Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Kwakweli bado haijatokea. 🥴Jiraniiii...hufichiki kweli?
Kwakweli bado haijatokea. 🥴Jiraniiii...hufichiki kweli?
😂😂😂sawa baba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] viportable nimeacha siku hzi najaribu vibonge wepesi
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Shangazi wetu
Nakusabahi[emoji2321]
Uselfike tumekumiss
Nipo gudo
Haya nipe hali yako
Poleeee mwaya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya nimerudi ntakuwekea kesho ule kwa macho.[emoji6]
Wee mwenyeji acha uongo, hebu mpost yule janjarooo nimemic kumuona yaan lol.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nilikumiss pia mwaya [emoji4][emoji4]
Wakunificha mie bado hajazaliwa [emoji6][emoji16] Nilikuwa busy tu na kazi!
[emoji482][emoji482][emoji482][emoji482]Furaha ni kulewa na marafiki....View attachment 2278637
Aliingia rohoni kwangu, kanipa kutuliaKuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
@Lizzy nakumic we kiumbeBoss wangu huyu ....?[emoji6]View attachment 2278667
Aunt upoWee mwenyeji acha uongo, hebu mpost yule janjarooo nimemic kumuona yaan lol.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Nipo mbali hukuNashukuru Mungu niko pouwa...
Leo koo halifunguki?[emoji2][emoji2]
Umenimiss kimoyo moyo....? 😏😏@Lizzy nakumic we kiumbe
Au huyu huyu hapa?? Anafurahisha macho 🙈🙈Wee mwenyeji acha uongo, hebu mpost yule janjarooo nimemic kumuona yaan lol.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]
Shangaziiii nipo mic u.[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Aunt upo
Huyu nae yuko vyedi mnooo mwenyeji.Au huyu huyu hapa?? Anafurahisha macho [emoji85][emoji85]View attachment 2278676